Feel the Difference.

101.7 Arusha One FM.

Arusha One FM Radio ni kituo cha redio chenye makao makuu Jijini Arusha Tanzania. Arusha One inarusha matangazo yake kwenye masafa ya 101.7 Mhz, ikisika wilaya zote za mkoa wa Arusha na baadhi ya jirani kama vile Manyara, Kilimanjaro, Tanga na Dodoma.

Vipindi Bomba

Sikiliza 101.7 Arusha One FM Radio kwa vipindi bomba kama vile Nuru ya Mawio, Makutano, The Beat na Thelathini za kimataifa.

Usikivu mwanana

Arusha One inarusha matangazo yake kwenye masafa ya 101.7 Mhz, ikisika wilaya zote za mkoa wa Arusha na baadhi ya jirani kama vile Manyara, Kilimanjaro, Tanga na Dodoma.

Watangazaji Makini

Watangazaji wenye vipaji, elimu, sauti na uelewa wa hali ya juu wapo nawe saa ishirini na nne kukuelimisha na kukuburudisha.

Tunakujali na Kukupenda

Vipindi vyetu vyote vinatengenezwa vikikulenga wewe msikilizaji wetu. Wasiliana nasi studio kushiriki nasi.

Redio hii inawalenga sana wanafunzi,vijana na pia wananchi wa kawaida ambao ndio wengi nchini.Tunatangaza pia kupitia mitambo tofauti tofauti na hivyo basi tumejipatia idadi nyingi ya wasikilizaji tangu tulipoanza kurusha matangazo.

FEEL THE DIFFERENCE

Uzoefu unatubeba, tuna miaka zaidi ya kumi (10) ya kukupa burudani, elimu na habari saa ishirini na nne, siku saba za wiki.

Jiunge na Familia ya Arusha One

Arusha One katika Picha

  Arusha One FM inaboresha maisha ya wasikilizaji wake kupitia taarifa za habari,za biashara, mazungumzo ya moja kwa moja, michezo, salamu na nyimbo tofauti tofauti kutoka ulimwengu mzima.

  Pia tunatengeneza matangazo mbalimbali,kutoa muda wa hewani kwa bei nafuu pamoja pamoja na kurusha matangazo ya bidhaa na huduma.Tunaandaa vipeperushi vya matangazo,kurekodi maigizo ya sauti, kurekodi na kutengrneza makala (Documentary).

  MAWASILIANO

  Block DD Plot No 436 Sombetini, Arusha

  SIMU

  0767118011/0677300406

  BARUA PEPE

  [email protected]