Vipindi Vyetu

MONDAY - FRIDAY06:00 - 10:00

Nuru ya Mawio

Kipindi bora chenye kuelimisha, kufundisha na kuburudisha. Kinatangazwa na THEOPHAN NG’ITU, HALIMA OMARY na BAHATI MSILU.

MONDAY - FRIDAY10:00 - 13:00

Makutano

Makutano ni kipindi pambe chenye kufundisha na kuburudisha. Usukani wa kipindi hiki uko mikononi mwan JAMILA KASSIM na JAMILA MOHAMED.

MONDAY - FRIDAY13:00 - 16:00

The Beat

Burudani zote za uhakika ziko ndani ya kipindi hiki cha The Beat. Show nzima inasimiwa na wazee wa kazi TUMAINI SAUKA na THOMAS MWITA.

M0NDAY - FRIDAY18:00 - 18:30

Thelathini za Kimataifa

Kutana na wazee wa kazi THEOPHANI NG’ITU na AWADHI RASHID katika kipindi bora kabisa cha Thelathini za Kimataifa.

  Arusha One FM inaboresha maisha ya wasikilizaji wake kupitia taarifa za habari,za biashara, mazungumzo ya moja kwa moja, michezo, salamu na nyimbo tofauti tofauti kutoka ulimwengu mzima.

  Pia tunatengeneza matangazo mbalimbali,kutoa muda wa hewani kwa bei nafuu pamoja pamoja na kurusha matangazo ya bidhaa na huduma.Tunaandaa vipeperushi vya matangazo,kurekodi maigizo ya sauti, kurekodi na kutengrneza makala (Documentary).

  MAWASILIANO

  Block DD Plot No 436 Sombetini, Arusha

  SIMU

  0767118011/0677300406

  BARUA PEPE

  [email protected]