Timu ya Ushindi

Teophan Ng’itu.
Mtangazaji

Mtangazaji wa kipindi cha Nuru ya Mawio na Thelathini za Kimataifa

Bahati Msilu
Mtangazaji

Mtangazaji wa kipindi cha Nuru ya Mawio.

Mpinga Hamisi Kingu
Msimamizi wa Vipindi
Onesmo Elia Mbise
Mtangazaji
Abduhaman Abdallah (Dj Matata)
DJ Matata
Noel Msele
Mtangazaji - Michezo

  Arusha One FM inaboresha maisha ya wasikilizaji wake kupitia taarifa za habari,za biashara, mazungumzo ya moja kwa moja, michezo, salamu na nyimbo tofauti tofauti kutoka ulimwengu mzima.

  Pia tunatengeneza matangazo mbalimbali,kutoa muda wa hewani kwa bei nafuu pamoja pamoja na kurusha matangazo ya bidhaa na huduma.Tunaandaa vipeperushi vya matangazo,kurekodi maigizo ya sauti, kurekodi na kutengrneza makala (Documentary).

  MAWASILIANO

  Block DD Plot No 436 Sombetini, Arusha

  SIMU

  0767118011/0677300406

  BARUA PEPE

  [email protected]